Mambo tunayosikia katika neno ni pamoja na
kushirikisha mambo mema na walimu
kupanda na kuvuna kwa roho na sio mwili
kutenda mema kwa watu wote
jinsi ambavyo hofu na tamaa iliwaharibu walimu waongo na onyo kwetu
tofauti ya Paul aliyeishi kwa Kristo
karibuni sana.
Mchungaji Mmasa. Mwalimu Maiki.
Wagalatia (13) Gal 6:6–18